Articles by "Advertise"
Showing posts with label Advertise. Show all posts
Habari ndugu wasomaji wangu kutokana na kuwa na ushindani mkubwa katika mambo ya bloging ni muhimu kujua/kulenga watuaji wa mtandao wako ni watu wa namna gani , kwa kipindi hiki cha sasa watuaji wengu wa mitandao wanatumia simu na tablet hivo kuwa na App ni jambo lisilokwepeka ili kwenda sawa na wateja/watembeleaji wa mtandao wako.

Hivo basi kutokana na hali hii Riyadibhai Nimeamua kukusaidia katika hili nitakutengenezea App yako ya android kwa bei nafuu zaidi na kukuwekea katika playstore. wasiliana nami hapa Contact me

Pia hizi ni baadhi ya kazi nilizowahi kufanya


zipo nyingi mno nilizowahi kutengeneza hizo juu ni baadhi yake kama nitaweka zote nitajaza grafu yote maana ni nyingi mno.